• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Iringa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahala
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Maji
      • Usimamizi wa Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Huduma za Kisheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • Halmashauri
    • Iringa MC
    • Mafinga Mji
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda na Biashara
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Hifadhi ya Taifa Ruaha
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Habari
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • News Later
    • Matukio

Video

  • RC: SERUKAMBA AMKALIA KOONI MZABUNI, FUNDI NA AFISA MANUNUZI-KILOLO

    September 20th, 2024

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba ameagiza kumfuta kazi fundi anayejenga madarasa katika shule ya Sekondari ya wasichana Lugalo na shule ya Ikokoto kwa kutokamilisha miradi kwa wakati huku akimuagiza afisa manunuzi kumwondoa mmoja wa wazabuni kwa kuchelewesha vifaa vya ujenzi kwenye miradi ya Halmashauri ya Wilaya Kilolo.Hayo yamejiri leo septemba 19,2024 wakati alipofanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi ya ujenzi wa shule ambapo awali alianza kukagua katika shule ya sekondari ya Ifingo ambapo  alikuta mradi bado haujakamilika na vifaa bado havijafika katika eneo hilo na baadae alifika katika shule ya Sekondari Kilolo ambapo huko alikutana na tatizo  la kutokuwepo kwa vifaa vya ujenzi lakini alipofika katika Shule ya Wasichana ya Lugalo napo huko akakutana na kisa kingine ambapo fundi Ndg.Godwin Mshana aliyepewa kazi ya ukamilishaji wa madarasa kasi ya utendaji kazi yake kusuasua ambapo Mhe.Serukamba amemwagiza Mkurugenzi Tarehe 26 mwezi huu kama atakuwa hajafikisha majengo kwenye lenta basi afutwe kazi apewe kazi mtu mwingine huku akimfuta kazi fundi huyo kutoendelea na ujenzi katika shule ya IkokotoPia Mhe Serukamba ameagiza kumondoa Mzalendo ambaye ni mmoja wa wazabuni kwa kushuindwa kupeleka vifaa kwa wakati na kupelekea ujenzi kusuasua na kuagiza kumuweka mzabuni mwingine ambaye ni CF.sambamba na hayo Mhe. Serukamba ameendelea kuwahimiza watendji na wataalamu kusimamia miradi na fedha zilizotolewa na Serikali ya awamu ya sita ili iweze kuisha kwa wakati

  • UZINDUZI WA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA HALMASHAURI YA MJI MAFINGAF

    September 20th, 2024

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mheshimiwa Abdallah Hamis Ulega(MB) amezindua Miradi Miwili ya Maendeleo na kuweka Jiwe la Msingi mradi mmoja na kukagua Mradi Mmoja wa maendeleo katika Halmashauri ya Mji Mafinga yenye thamani zaidi ya shilingi Bilioni 3.Akizungumza Kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika tarehe 18/9/2024 katika viwanja vya Kituo cha Afya Ifingo Mheshimiwa Ulega amesema amefarijika kuona maendeleo Makubwa ya Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo ambayo imepokea fedha kutoka Serikali Kuu, Halmashauri ya Mji Mafinga na kikubwa zaidi uchangiaji wa nguvu za wananchi katika utekelezaji wa Miradi hiyo.“ Nimeweka Jiwe la Msingi katika Jengo la Mama na Mtoto katika Zahanati ya Rungemba jengo ambalo lilianza ujenzi kwa kuibuliwa na wananchi kwa nguvu zao wenye thamani ya shilingi Milioni 40 na Halmashauri ime jenga kwa mapato yake ya ndani shilingi Milioni 77. Hili na jambo la kujifunza.”Nitafikisha salamu hizi kwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa wananchi wa Mafinga wanafanya kazi kwa ushirikiano mkubwa na wanatekeleza Miradi ya Maendeleo kwa juhudi zao na hivyo kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais na kusukuma mbele gurudumu la Maendeleo la Mji Mafinga.Miradi iliyotembelewa na Mheshimiwa Waziri wa Kilimo Mhe Abdallah Ulega (MB) ni;-Kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Jengo la Mama na Mtoto katika Zahanati ya Rungemba, Uzinduzi wa Shule Mpya ya Kata Mtaa wa Ndolezi Kata ya Boma ( SEQUIP), Kuzindua madarasa mawili katika Shule ya Msingi Kikombo na kutembelea ujenzi wa nyumba ya walimu(2 in 1) kupitia Mradi wa SEQUIPKatika Ziara hiyo Mbunge wa JimboLa Mafinga Mjini na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Cosato Chumi amekabidhi vitanda 6 katika Zahanati ya Rungemba kwaajili ya jengo la mama na mtoto kuunga mkono juhudi za Serikali na wananchi walioibua mradi huo

  • RC SERUKAMBA AMKARIBISHA WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI MHE. ABDALLAH ULEGA

    September 20th, 2024

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba amempokea Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega, ambaye amewasili Mkoani Iringa Kwaajili ya ziara ya kukagua na kuzindua Miradi inayotekelezwa na Serikali ya awamu ya Sita, ambapo leo ameanza kuzindua miradi ya Halmashauri ya Manispaa ya Iringa

  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • Next →

Matangazo

  • No records found
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • ‎RC SERUKAMBA AITAKA TRA KUDHIBITI RISITI FEKI, KUHAMASISHA ELIMU YA KODI

    May 19, 2025
  • TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM MKOA WA IRINGA.

    May 18, 2025
  • UKAGUZI WA MIRADI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI

    May 08, 2025
  • RC SERUKAMBA AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA VIONGOZI NA WATUMISHI

    May 07, 2025
  • Tazama zote

Video

WASHIRIKI 10,000 KUTIKISA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA 2025 MKOANI IRINGA
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

Tovuti Linganifu

  • Bunge

Watembeleaji Kidunia

world map hits counter

Jumla ya Watembeleaji

COUNTER-free

Ramani

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2025, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.