Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi akitatua kero za wananchi wa Kata ya Ilula
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Ally Hapi baada ya kufurahishwa na kazi nzuri aliyoifanya ya kuwatetea wananchi wanyonge Mkoani Iringa.
Wana Iringa wafurahishwa sana na utendaji kazi wa Mh Hapi jinsi anavyo tatua migogoro ya ardhi Mkoani humu kwa kuwafuata wanyonge mtaa kwa mtaa.
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.