• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Iringa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahala
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Maji
      • Usimamizi wa Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Huduma za Kisheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • Halmashauri
    • Iringa MC
    • Mafinga Mji
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda na Biashara
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Hifadhi ya Taifa Ruaha
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Habari
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • News Later
    • Matukio

RAIS SAMIA AMEWEKA MAZINGIRA MAZURI KWA WAWEKEZAJI-RC SERUKAMBA

Posted on: July 24th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba amewataka Wananchi kuendelea kuunga mkono Kazi anazozifanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuweka mazingira mazuri kwa wawekezaji kwa kujenga na kuboresha miundombinu.Ameyasema hayo  wakati alipotembelea kiwanda cha NATUREZA kilichopo kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo ambapo amesema kuwa katika kipindi hiki wawekezaji wameendela kuwa wengi kwasababu ya uwepo mzuri ya miundombinu ya Barabara, umeme na maji vitu ambavyo Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amevifanya kwa kasi kubwa sana na kupelekea wawekezaji kufurahi kuwekeza nchini hapa.Pia Mhe.Serukamba ameendelea kuwahimiza viongozi wa Halmashauri  kuhakikisha wanasimama vizuri na kwa uangalizi mkubwa viwanda vyote vilivyopo katika Halmashauri hiyo kwa kuatatua changamoto wananzokumbana nazo na kuhakikisha wawekezaji hao wanafuata sheria zote na kulipa kodi.Aidha Mhe. Serukamba ametoa wito kwa wawekezaji wengine kuja kuwekeza mkoani Iringa na kuwahakikishia  mazingira ya uwekezaji yapo na ni mazuri na Serikali ya Mkoa ipo tayari kuwapokea na kuwawekea mazingira mazuri.Nae Mbunge wa Viti maalumu Mhe. Ritha Kabati amemshukuru Muwekezaji huyo kwa kuja kuwekeza Wilayani hapo na kusema kuwa uwepo wa kiwanda hicho umekuwa chachu ya mafanikio na maendeleo ya wananchi, Mkoa na Taifa kwa ujumla huku akisema  kwa sasa Wilaya ya Kilolo inakuwa ni Wilaya ya viwanda.Wananchi zaidi ya 200 wamepata ajira kupitia kiwanda hicho.


Matangazo

  • No records found
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC SERUKAMBA AMESHIRIKI NA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KWENYE MAZISHI YA MDOGO WAKE NA WAZIRI WA NCHI OFISI YA WAZIRI MKUU MHE WILLIAM LUKUVI

    June 07, 2025
  • WASHIRIKI 10,000 KUTIKISA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA 2025 MKOANI IRINGA

    June 06, 2025
  • MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA KITAIFA YATAFANYIKA MKOA WA IRINGA

    June 02, 2025
  • KAMBI YA MADAKTARI BINGWA YA MAMA SAMIA YATUA IRINGA

    June 02, 2025
  • Tazama zote

Video

WASHIRIKI 10,000 KUTIKISA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA 2025 MKOANI IRINGA
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Iringa
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji Kidunia

world map hits counter

Jumla ya Watembeleaji

COUNTER-free

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Simu: +255 262 702 715

    Mobile:

    Barua pepe: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2025, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.