Mkuu wa mkoa iringa Mh: sendiga akiwa katika ziara ya kukagua mladi wa barabara ya ikengeza ,makungu, mpaka nyororo yenye urefu wa kilomita kumi (10) yenye kiwango cha changarawe, Barabara hiyo imejengwa kutokana na pesa za tozo katika halmashauri ya iringa , Pia Mheshimiwa sendiga aliongeza kuwa ujenzi wa barabara hiyo ni ukombozi kwa wananchi katika usafirishaji wa mazao mfano mpunga unaotoka pawaga nakadhalika.
Pawaga Road
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, Iringa
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2021, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.