• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Iringa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahala
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Maji
      • Usimamizi wa Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Huduma za Kisheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • Halmashauri
    • Iringa MC
    • Mafinga Mji
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda na Biashara
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Hifadhi ya Taifa Ruaha
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Habari
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • News Later
    • Matukio

KONGAMANO LA FUNDI SMART LAFANYIKA LEO IRINGA .

Posted on: March 17th, 2023

Mkuu Wa Mkoa Wa Iringa Mhe. Halima O. Dendego amewataka Mafundi Mkoani humo kutumia Teknolojia ya Mawasiliano ili kutangaza kazi katika Mitandao.

Ameyasema hayo alipokuwa akifungua Kongamano la Fundi Smart lililofanyika katika Ukumbi wa Masit ambapo amesema kuwa ifike wakati sasa mafundi hao kuona umuhimu wa kutumia Teknolojua ya mawasiliano Vizuri ili kukuza na kutangaza kazi zao kwani kwa kufanya hivyo kutapelekea kukua kwa uchumi mkoani hapo.

Pia Mhe. Dendego amewataka Mafundi hao kuachana na udanganyifu kwa wateja wao jambo ambalo linapelekea mafundi wengi kutokuaminiwa na Wateja wao na badala yake kupelekea hali ya uchumi kuwa Chini.

Aidha Mhe. Dendego Ameendelea kuwasisitiza Mafundi hao kuchangamkia mikopo inayotolewa na serikali  itajayopelekea kukuza kazi zao.

Nae Mkurugenzi wa Fundi Smart Fredy Herbert  amesema kuwa kutokana na Changamoto nyingi zinazowakumba Mafundi, kubwa ikiwemo mafundi hao kutapeliwa kwa sasa wamepata njia ya kuzuia changamoto hiyo kwa kuweka wanasheria ambao hao watakuwa watetezi wa Mafundi hao.

İmetolewa na Afisa Habari Ofisi ya Mkuu wa Mkoa İringa

Matangazo

  • MAADHIMISHO YA UTALII KARIBU KUSINI 2023 May 01, 2023
  • MAADHIMISHO YA KARIBU KUSINI MWAKA 2022 September 19, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • SALAMU ZA POLE

    December 05, 2023
  • KARIBU MKOA WA IRINGA WAZIRI WA ARHI, NYUMBA NA MAENDELEO NA MAKAZI

    November 21, 2023
  • MKUU WA MKOA WA IRINGA MHE. HALIMA O. DENDEGO ASHUHUDIA UTIAJI SAINI WA HATI YA UDHIBITI WA WAFANYABIASHARA WALIOPO KATIKA MAENEO YASIYO RASIMI

    November 15, 2023
  • MKUU WA MKOA WA IRINGA MHE. HALIMA DENDEGO ATUNUKIWA CHETI CHA PONGEZI NA USAID

    November 14, 2023
  • Tazama zote

Video

WANANCHI WATAKIWA KUTUMIA FURSA YA UWEPO WA MAONYESHO YA KARIBU KUSINI 2023
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Iringa
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji Kidunia

world map hits counter

Jumla ya Watembeleaji

COUNTER-free

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Simu: +255 262 702 715

    Mobile:

    Barua pepe: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2023, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.