• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Iringa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahala
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Maji
      • Usimamizi wa Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Huduma za Kisheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • Halmashauri
    • Iringa MC
    • Mafinga Mji
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda na Biashara
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Hifadhi ya Taifa Ruaha
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Habari
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • News Later
    • Matukio

Usimamizi wa LGAs

Majukumu ya Sehemu ya Menejimenti ya Serikali za Mitaa ni pamoja na;

i.    Kuzishauri na kuziwezesha Mamlaka za Serikali za Mitaa  ili ziwezekuwa na matumizi sahihi ya fedha za Umma,


ii.    Kuziwezesha Mamlaka za Serikali za Mitaa ili ziweze kuimarisha Utawala Bora,


iii.    Kuziwezesha Mamlaka za Serikali za Mitaa ili ziweze kufanya mapitio ya miundo na mifumo kwa ajili ya kuimarisha utendaji,


iv.    Kufanya ukaguzi wa kila robo mwaka na ule wa kushtukiza kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa,


v.    Kuzisaidia Mamlaka za Serikali za Mitaa katika maandalizi na utekelezaji wa Bajeti,


vi.    Kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa katika usimamizi wa rasilimali watu,


vii.    Kuratibu na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi,


viii.    Kuratibu maandalizi na kufanya ufuatiliaji na tathmini ya Mkataba wa Huduma kwa Mteja kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa,


ix.    Kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa juu ya utekelezaji wa Sheria za kazi,


x.    Kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa katika maandalizi ya Sheria ndogo za Mamlaka za Serikali za Mitaa na masuala ya Ukaguzi wa ndani,


xi.    Kuratibu uhamisho wa watumishi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa (Uhamisho wa ndani na nje ya Mkoa).



Matangazo

  • UJIO WA MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR MHE, HEMED S. ABDULLAH, MKOANI IRINGA 1/7/2022. June 29, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MHE RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA CHIEF WA WAHEHE ADAM

    August 12, 2022
  • MHE RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, AMEFANYA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA KATIKA VIWANJA VYA SAMORA MKOANI IRINGA

    August 12, 2022
  • Ujio wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.

    August 05, 2022
  • Ujio wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.

    August 05, 2022
  • Tazama zote

Video

MKUU WA MKOA WA IRINGA MHE: QUEEN SENDIGA AZINDUA KAMPENI NDOGO YA CHANJO YA UVIKO-19
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Iringa
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji Kidunia

world map hits counter

Jumla ya Watembeleaji

COUNTER-free

Ramani

Wasiliana Nasi

    Pawaga Road

    Anuani ya Posta: P.O.Box 858, Iringa

    Simu: +255 262 702 715

    Mobile:

    Barua pepe: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2021, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.