• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Iringa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahala
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Maji
      • Usimamizi wa Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Huduma za Kisheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • Halmashauri
    • Iringa MC
    • Mafinga Mji
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda na Biashara
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Hifadhi ya Taifa Ruaha
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Habari
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • News Later
    • Matukio

Video

  • MKUU WA MKOA WA IRINGA MHE. HALIMA O. DENDEGO AMETOA UFAFANUZI WA MIUNDOMBINU YA WAMACHINGA

    June 16th, 2023

    Mkuu wa mkoa wa Iringa Mhe. Halima O. Dendego ametolea ufafanuzi taarifa zilizoenea kwenye mitandao ya kijaamii zilizojaa upotoshaji juu ya sekali ngazi ya Mkoa na wilaya kutoa maelekezo kwa watendaji kuvunja na kuharibu miundombinu ya wafanyabiashara.Mhe.Dendego ameyasema hayo wakati alipokuwa akizungumza na vyombo vya Habari ambapo amesema kuwa Serikali ya Wilaya na Mkoa haihusika na zoezi hilo lililoendeshwa kwa kutokufuata maelekezo rasmi yaliyotolewa na viongozi kwa lengo la kutengeneza mazingira rafiki kwa ajili  ya wafanyabiashara.Pia Dendego amesema watu wote waliohusika kutoa maelekezo ya kufanya uharibifu huo na kuleta taharuki kwa wafanyabiashara watachukuliwa hatua kali za kisheria na kinidhamu.Sambamba na hayo Mkuu wa Mkoa amewataka watumishi kufanya kazi kwa kushirikishana ili kuleta tija na kuongeza ufanisi katika kuwatumikia wananchi.Imetolewa na Afisa habari Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

  • UZINDUZI WA ZAHANATI YA ITAGUTWA

    November 17th, 2022

    Ikiwa ni wiki la Maadhimisho ya Usafi wa Mazingira Mkuu wa Mkoa Iringa Mhe. Halima O. Dendego akiwa ameambatana na Viongozi wa Afya amezindua Zahanati ya Itagutwa Iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Kata ya Kiwele na Kutembelea Shule Ya Msingi Kitapilimwa Kutazama Ujenzi Wa Vyoo Vilivyojenga na Jumuiya ya Uandisi na Uifadhi wa Mazingira EEPCO kwa kusaidiana na Halmashauri ya Wilaya ya Iringa kwa ufadhili wa UNICEFAkitoa taarifa ya Ujenzi wa Zahanati hiyo Mwakilishi wa EEPCO amesema kuwa  shirika hilo lilipokea kiasi cha shilingi Bilioni Nne na Hamsini na hamsini na Nane na Mia Nane Kumi na Tano na Mianne Hamsini kutoka UNICEF ikiwa na lengo la kutekeleza miradi yam aji, Shule na Ujenzi wa Vituo vya Afya pia amesema lengo kuu la EEPCO  ni kushirikiana na Serikali na Taasisi mbalimbali Duniani  ili kuboresha uelewa na kujifunza mikakati mbalimbali ya kuhifadhi mazingira ni kutatua changamoto ya Mazingira mashuleni na katika vituo vya Afya.Akizindua Zahanati hiyo Mhe Halima  Dendego ametoa shukurani kwa EEPCO kwa kazi kubwa wanayoifanya ya Kujitolea kuipambania jamii katika kujenga Zahanati, kujenga Vyoo katika shule na kazi nyingine wanazozifanya huku akiwaomba wananchi hao kuendelea kujitokeza katika kuleta maendeleo kwenye jamii kwa kujitolea katika ujenzi wa Shule na Zahanati na kutunza Miundombinu ambayo imeboreshwa na Shirika hilo na kuwa ahidi kuwa serikali ipo Pamoja nao katika kila jambo watakalotaka kulifanya.Pia Akiwa Katika Shule ya Msingi Kitapilimwa Mhe. Dendego amewapongeza wananchi wa eneo hilo kwa namna wanavyojitoa katika kwenye maendeleo ya elimu na kuwaahidi kuwa serikali ipo Pamoja nao  kama Mkuu wa Mkoa atahakikisha wanashirikiana bega kwa bega katika kuboresha miundombinu ya shule hizo.Nao baadhi ya wananchi wametoa shukrani kwa serikali huku wakiwapongeza wauguzi waliopo katika zahanati hiyo kwa namna wanavyofanya kazi

  • MKOA WA IRINGA WAZINDUA MIONGOZO MITATU YA KUBORESHA ELIMU YA MISINGI NA SEKONDARI

    September 19th, 2022

    Mkuu wa mkoa wa Iringa Mhe. Halima Dendego akiwa ameambatana na baadhi ya viongozi wa mkoa  amefanya uzinduzi wa kikao cha kupokea maagizo ya Miongozo Mitatu ya Kuboresha Elimu ya  Misingi na Sekondari uliotolewa Agosti mwaka huu Mkoani Tabora na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa katika uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa Shule ya wasichana Iringa.(Iringa gilrs) Katika uzinduzi huo Mhe Halima Dendego amewapongeza walimu kwa kazi kubwa  wanayoifanya huku akiwaahidi kushirikiana bega kwa bega kuhakikisha walimu wanapatiwa haki zao za msingi na wanawajibika katika kutoa Elimu Bora. Aidha Mhe. Halima Dendego amesema “Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kila mwaka tutakuwa tunaandaa kikao cha tathimini kwa sekta ya Elimu ili tuweza kuona mafanikio,changamoto na mambo yanayofuata siku za mbele tuweza kuyakabiliwa kwa Pamoja”

  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • Next →

Matangazo

  • No records found
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MGOGORO WA ARDHI WA ENEO LA SHULE YA MSINGI IGELEKE WAFIKIA TAMATI

    March 14, 2025
  • MAANDALIZI YA UMISSETA NA UMITASTUMTA YANATALAJIWA KITAIFA KUFANYIKA MKOANI IRINGA

    March 15, 2025
  • UMISSETA NA UMITASHUMTA KITAIFA KUFANYIKA MKOA WA IRINGA.

    March 13, 2025
  • MATOKEO - TATHIMINI YA HALI YA LISHE MKOA IRINGA NI ASILIMIA 30.1

    March 05, 2025
  • Tazama zote

Video

WASHIRIKI 10,000 KUTIKISA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA 2025 MKOANI IRINGA
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

Tovuti Linganifu

Watembeleaji Kidunia

world map hits counter

Jumla ya Watembeleaji

COUNTER-free

Ramani

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2025, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.