• Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Iringa Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahala
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Maji
      • Usimamizi wa Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Huduma za Kisheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Iringa
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Mufindi
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
    • Kilolo
      • Historia
      • Viongozi
      • Halmashauri zilizopo kwenye Wilaya
  • Halmashauri
    • Iringa MC
    • Mafinga Mji
    • Iringa DC
    • Kilolo DC
    • Mufindi DC
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda na Biashara
    • Vivutio vya Kitalii
      • Fahari Yetu
      • CHOGELASAFARICAMP
      • Kitovu cha Utalii Nyanda za Juu Kusini
      • RUAHA HILLTOP
      • Hifadhi ya Taifa Ruaha
      • Udzungwa Mountains National Park
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Habari
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • News Later
    • Matukio

Video

  • WASHIRIKI 10,000 KUTIKISA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA 2025 MKOANI IRINGA

    June 7th, 2025

    Zaidi ya washiriki 10,000 wanatarajiwa kushiriki mashindano ya kitaifa ya michezo kwa shule za msingi na sekondari, UMITASHUMTA na UMISSETA, yatakayofanyika mkoani Iringa kwa mara ya kwanza mwaka 2025, tukio linalotajwa kuwa la kihistoria kwa Mkoa wa Iringa .Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Peter  Serukamba, amethibitisha hilo wakati akizungumza na waandishi wa habari na kueleza kuwa mashindano hayo ni fursa adhimu kwa mkoa wa Iringa, huku akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuiamini Iringa kuwa mwenyeji wa tukio hilo la kitaifa.“Tunamshukuru sana Mhe. Rais Dkt. Samia kwa kutupatia heshima hii kubwa, Kwa mara ya kwanza Iringa itakuwa mwenyeji wa mashindano haya makubwa, baada ya kuwa yamefanyika mkoani Tabora kwa mfululizo Kwa miaka mitatu ,” amesema Mhe. Serukamba.Kwa mujibu wa ratiba rasmi, mashindano ya UMITASHUMTA yataanza tarehe 08 Juni hadi 17 Juni 2025, yakifuatiwa na mashindano ya UMISSETA yatakayodumu kuanzia tarehe 08 hadi 30 Juni 2025.Mashindano hayo yanatarajiwa kukutanisha wanafunzi, walimu wa michezo, maafisa pamoja na viongozi mbalimbali kutoka sekta ya elimu na michezo kutoka mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani. Michezo itakayoshindaniwa ni pamoja na mpira wa miguu, mpira wa kikapu, mpira wa wavu, netiboli, pamoja na mchezo wa kengele kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum. Aidha, burudani ya muziki wa kizazi kipya pia itakuwepo, ikitumbuiza na kuhamasisha washiriki na mashabiki.Viwanja vitakavyotumika katika mashindano hayo ni pamoja na Shule ya Sekondari Wasichana Iringa, Shule ya Sekondari Lugalo, pamoja na Chuo cha Ualimu Klerru.Aidha Mhe. Serukamba amewataka wananchi wa Iringa kutumia vyema fursa hii kwa kutoa huduma mbalimbali zitakazowawezesha kunufaika kiuchumi.“Wananchi wanayo nafasi ya kipekee ya kunufaika na wageni watakaofika hapa. Huduma za malazi, vyakula, usafiri na biashara ndogondogo zote zitahitajika. Ametoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kushuhudia ufunguzi rasmi wa mashindano hayo utakaofanyika tarehe 09 Juni 2025

  • RC SERUKAMBA: WANANCHI PAWAGA FANYENI KAZI KWA BIDII.

    January 29th, 2025

    Ikiwa ni mwendelezo wa ziara za Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba Januari 27, 2025 ametembelea na kukagua miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa na kufanya Mkutano wa hadhara Kijiji cha Itunundu, tarafa ya Pawaga huku akiwahimiza wananchi kufanya kazi kwa bidiiAkizungumza wakati wa mkutano huo na wanakijiji Mhe. Peter Serukamba amesema kuwa changamoto zote zilizowasilishwa na wanakijiji zitafanyiwa ufumbuzi haraka iwezekanavyo huku akiwataka wanakijiji wa Itunundu kufanya kazi kwa Bidii kupitia miradi ya maendeleo iliyopo kijijini hapo."Niwaombe mfanye kazi kwa bidii Serikali inawekeza kwenye umwagiliaji, Serikali inawekeza kwenye mashule inawekeza kwenye umeme, inawekeza kwa kila kitu lakini kama wewe mmoja mmoja hufanyi juhudi bado tutaendelea kuilaumu Serikali wakati Serikali imefanya kila kitu."Sambamba na hayo Mhe. Serukamba ameupongeza uongozi wa Halmashauri hiyo kwa namna walivyopambana katika utekelezaji wa ujenzi wa miradi ya maendeleo

  • RC: SERUKAMBA ELIMU NDIO NGUZO YA MAENDELEO YA JAMII NA UCHUMI

    September 20th, 2024

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba amehimiza Wazazi na Walezi  Nchini kuhakikisha watoto wao wanapata Elimu na kuwahimiza watoto hao juu ya Umuhimu wa Elimu kwani Elimu ndio Nguzo ya maendeleo ya jamii na UchumiAmeyasema hayo leo Septemba 20,2024 wakati akihutubia kwenye mahafali ya wanafunzi wa Shule ya Real Hope iliyopo katika Halmashauri ya Mji Mafinga Wilaya ya Mufindi.Mhe Serukamba Amesema kuwa jambo kubwa ambalo watoto wanatakiwa kurithi kutoka kwa wazazo wao ni Elimu hivyo wazazi  wametakiwa kulipa kipaumbele suala la elimu ili kuleta maendeleo katika jamiiAidha Mhe. Serukamba ameongeza kwa kuwataka wasomi wote kujijengea tabia ya kujifunza kila siku kwa kusoma vitabu mbalimbali kwani kwa sasa sayansi na Teknolojia ikekuwa kwa kasi tofauti na hapo awali.

  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • Next →

Matangazo

  • No records found
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC SERUKAMBA AMESHIRIKI NA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KWENYE MAZISHI YA MDOGO WAKE NA WAZIRI WA NCHI OFISI YA WAZIRI MKUU MHE WILLIAM LUKUVI

    June 07, 2025
  • WASHIRIKI 10,000 KUTIKISA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA 2025 MKOANI IRINGA

    June 06, 2025
  • MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA KITAIFA YATAFANYIKA MKOA WA IRINGA

    June 02, 2025
  • KAMBI YA MADAKTARI BINGWA YA MAMA SAMIA YATUA IRINGA

    June 02, 2025
  • Tazama zote

Video

WASHIRIKI 10,000 KUTIKISA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA 2025 MKOANI IRINGA
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Iringa
  • PReM
  • Investment profile
  • Ajira za waalimu
  • Press release

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji Kidunia

world map hits counter

Jumla ya Watembeleaji

COUNTER-free

Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga

    Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania

    Simu: +255 262 702 715

    Mobile:

    Barua pepe: ras@iringa.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali
    • Ramani
    • Huduma

Hakimiliki ©2025, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.