Posted on: May 24th, 2018
Na. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Iringa
Walmashauri ya Wilaya ya Iringa inaajiri walimu wa muda mfupi katika mkakati wa kukabiliana na changamoto ya upungufu wa walimu wa sayansi.
Kauli hiyo ilitolewa...
Posted on: May 23rd, 2018
Na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Iringa
Mwenge wa uhuru ukiwa mkoani Iringa utazindua, kukagua na kuweka mawe ya msingi miradi ya maendeleo 39 yenye thamani ya shilingi 24,191,060,696.40.
Hayo yalisemw...
Posted on: May 23rd, 2018
Na. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Iringa
Mkoa wa Iringa umekagua miradi 18 ya maendeleo yenye zaidi ya shilingi bilioni tatu katika sekta mbalimbali ili kijiridhisha na thamani ya fedha katika utekelezaji...