Posted on: January 18th, 2018
Na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Wilaya ya Kilolo imetoa wito kwa wanafunzi wanaosoma chuo cha Taifa cha ulinzi kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo wilayani Kilolo kwa lengo la kujifunza na kuburudika....
Posted on: January 18th, 2018
Na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Mkoa wa Iringa umeandaa mpango wa kuboresha maonesho ya utalii karibu kusini ili kuweza kuwavutia watalii wengi kutembelea vivutio vya utalii na kufurahia mandhari...
Posted on: January 2nd, 2018
Na. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Sekta ya kilimo inachangia katika usalama wa chakula na utoaji ajira na uchumi wa Mkoa wa Iringa.
Kauli hiyo ilitolewa na mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza...