Mwenge wa Uhuru 2024 ukiwa Mkoani Iringa mara baada ya kupokelewa jana na kukagua miradi katika Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, leo Juni 23,2024 kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Ndg.Mashaka Mfaume Amekabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Mafinga Bi.Fidelica Myovela. Mwenge wa Uhuru ukiwa Katika Halmashauri ya Mji Mafinga utatembelea miradi 9 yenye thamani ya Shilingi Billioni 2.1
#www.kazi.go.tz #ofisiyawazirimkuu #mafingatc
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.