Kupata salary slip bonyeza https://salaryslip.mof.go.tz/ ili uweze kujisajili, kama unahitaji msaada namna ya kujisajili ili kuweza kupata salary slip yako wasiliana na ofisi ya TEHAMA ili wakusaidie.
Zingatia yafuatayo:
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, 4 Barabara ya Pawaga
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, 51108 Gangilonga, Iringa, Tanzania
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2024, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.