Sehemu hii ina lengo la kuziwezesha Sehemu/Idara nyingine kutimiza majukumu yake, kutoa utaalamu na huduma mbalimbali zinazohusiana na usimamizi wa Rasilimaliwatu na Utawala kwenye Sekretarieti ya Mkoa. Sehemu hii inaongozwa na Katibu Tawala Msaidizi ambaye anawajibika kwa Katibu Tawala wa Mkoa.
Majukumu ya Sehemu ya Utawala na Rasilimali watu:
Pawaga Road
Anuani ya Posta: P.O.Box 858, Iringa
Simu: +255 262 702 715
Mobile:
Barua pepe: ras@iringa.go.tz
Hakimiliki ©2021, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.