|
|
Sekta ya Ushirika
Mkoa una jumla ya Vyama vya Ushirika 275, Vyama vya Mazao ni 121, Vyama vya Akiba na Mikopo 116, Vyama vya Ushirika wa Maduka ni 11, Vyama vya Viwanda ni 17, Chama cha Elimu 1, Vyama vya Mifugo 2, Ubia 1 na Vyama Vikuu ni 2.
Mafanikio ya Sekta ya Ushirika kuanzia Desemba 2005 hadi 2008
| Na |
Maelezo |
Desemba 2005 |
Desemba 2008 |
Ongezeko |
% |
| 1 |
Vyama vya ushirika |
107 |
203 |
96 |
89 |
| 2 |
Idadi ya wanachama |
10,317 |
29,005 |
18,688 |
181 |
| 3 |
Mtaji wa ndani |
1,139,635,000 |
4,948,162,000 |
3,808,527,000 |
334 |
| 4 |
Mikopo iliyotolewa |
760,912,000 |
3,367,942,000 |
2,607,030,000 |
342 |
| 5 |
Mikopo toka nje (Mabenk na Taasisi) |
509,292,000 |
2,663,872 |
2,154,579,000 |
423 |
|