UZINDUZI WA TOVUTI ZA MIKOA
Tovuti za SEKRETARIETI za Mikoa zimezinduliwa rasmi na Waziri Mkuu Mhe. MIZENGO K. P. PINDA (MB) tarehe 19 Februari 2009 Katika Mkoa wa Kilimanjaro. Tovuti za kila mkoa zinapatikana kwa anwani hii www.jinalamkoa.go.tz
Hatua hii imekuja baada ya serikali kuamua kuboresha utendaji wake kwa kutumia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano yaani Serikali Mtandao (eGovernment ) kama nyenzo. ili kuwezesha wananchi wengi kupata taarifa za utendaji wa serikali mara wanapozihitaji.
|