Maliasili
Mkoa wa una fursa nyingi za kutumia na kuendeleza maliasili. Mingoni mwa fursa hizo ni ufugaji wa nyuki, wanyamapori, Ruaha National Park, Udzungwa National Park, Mpanga/Kipengere Game Reserves, Milima na misitu ya Udzungwa, Misitu mikubwa ya kupandwa kama msitu wa Taifa wa Sao Hill, misitu ya kupandwa ya watu binafsi na makampuni yaliyowekeza katika misitu mfano Green Resourse, Halmashauri za Wilaya, misitu ya ya Serikali za Vijiji na Serikali kuu.
Uhifadhi wa vyanzo vya Maji
Hadi kufikia Desemba 2008 jumla ya vyanzo vya maji 6,401 vilikuwa vimetambuliwa na jumla ya vyanzo 2,356 vimehifadhiwa.
Misitu
Jedwali Na.10: Upandaji wa miti kiwilaya kipindi cha kuanzia mwaka 2005 hadi 2008 ni kama ifuatavyo:
| Wilaya/Halmashauri |
Upandaji miti 2005/06 |
Upandaji miti 2006/07 |
Upandaji miti 2007-2008 hadi Julay 2008 |
|
Lengo |
Halisi |
Lengo |
Halisi |
Lengo |
Halisi |
| Makete |
2,000,000 |
2,668,405 |
2,221,000 |
2,400,880 |
2,500,000 |
2,889,976 |
| Mufindi |
9,900,000 |
7,980,460 |
7,000,000 |
20,096,503 |
21,000,000 |
23,862,500 |
| Kilolo |
1,024,122 |
1,642,975 |
1,226,000 |
18,279321 |
2,000,000 |
18,000,000 |
| Manispaa |
84,000 |
77,350 |
84,000 |
185,000 |
100,000 |
133,334 |
| Ludewa |
1.800.000 |
2.126113 |
2,132,000 |
2,943,960 |
3,000,000 |
3,081,046 |
| Njombe |
1,000.000 |
2,402,228 |
1,332,000 |
2,292,228 |
2,000,000 |
16,522,108 |
| Iringa |
2,200,000 |
1,589,201 |
1,000,000 |
3,035,038 |
35,500,000 |
1,345,000 |
| JUMLA |
18,008,122 |
18,486201 |
15,000,000 |
49,329,930 |
34,000,000 |
65,833,964 |
Chanzo:Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Jedwali Na: 11: Ukusanyaji wa mapato ya misitu kwa msimu wa 2006/2007 hadi 2007/08 na malengo 2008/09 kiwilaya
| MKOA/WILAYA |
Lengo 2005/06 |
Halisi 2005/06 |
Lengo 2007/08 |
Halisi 2007/08 |
| Maliasili Mkoa |
4,900,000 |
800,000 |
1,000,000 |
3,000,000 |
| Iringa |
16,400,000 |
2,681,300 |
3.000,000 |
6,000,000 |
| Mufindi |
2,500,000 |
153,159,098 |
154,000,000 |
155,000,000 |
| Njombe |
5,500,000 |
3,880,000 |
4,000,000 |
3,125,000 |
| Ludewa |
1,000,000 |
1,235,876 |
1,000,000 |
1,000,000 |
| Makete |
3,500,000 |
3,231,534 |
3,231,534 |
3,500,000 |
| Kilolo |
4,000,000 |
3,980,219 |
3,900,000 |
4,000,000 |
| Jumla |
37,800,000 |
168,968,027 |
170,131,534 |
177,500,000 |
Chanzo: Ofice ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa
Uwekezaji katika Sekta ya misitu unakua kwa kasi ya kuridhisha kutokana ns makampuni kutoka nje na ndani kuvitia.
Jedwali Na: 12: Mafanikio ya utalii yanayonekana kama ifuatavyo:-
| Sekta |
Shughuli |
Desemba 2005 |
Dessemba 2008 |
Mafanikio/Ongezeko |
| Utalii |
Idadi ya watalii nje |
13,727 |
16,520 |
2,793 |
|
Watalii wa ndani |
6,747 |
9,082 |
2,335 |
|
Maafisa utalii |
- |
8 |
8 |
Chanzo: Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa
Uvuvi
Kwa kipindi cha Desemba 2005 hadi Desemba 2008 jumla ya maeneo yalioainishwa ambayo ni maarufu kwa uvuvi mkoani ni 6
Uvuvi unfanyika katika ziwa Nyasa ambalo katika Tanzania lina ufuko wa urefu wa km 260 na mabwawa madomadogo ya kufugia samaki 4,167.maeneo haya ya uvuvi yana jumla ya kilometa za mraba 822 ambazo zimezalisha jumla ya Kg.516,178 za samaki zenye thamani ya Shs.326,977,300 |