Mahali Mkoa ulipo
Mkoa wa Iringa upo katika Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania ambapo kwa upande wa Kaskazini unapakana na Mikoa ya Dodoma na Singida, Mkoa wa Mbeya upande wa Magharibi, Mkoa wa Morogoro upande wa Mashariki na Mkoa wa Njombe kwa upande wa Kusini.
Hakimiliki ©2018, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa.