ORODHA YA WANACHUO WAHITIMU WA MAFUNZO YA UALIMU DARAJA LA TATU MWAKA 2011 WALIOPANGIWA MIKOA, SHULE ZA MAZOEZI - KUFANYIA KAZI WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI.
Kwa waombaji wote walioomba nafasi za kazi / ajira ya Ualimu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ambao majina yao yametangazwa katika tovuti za Wizara ya Elimuna Mafunzo ya Ufundi na Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI,
Wanatakiwa kuripoti tarehe 01 Februari 2012 kwenye Ofisi za Wakuu wa Vyuo husika. Kila mwalimu anatakiwa kwenda kwenye Chuo alikopangwa, kwa sababu HAKUNA MABADILIKO YATAKAYOFANYWA. Ambaye hataripoti ifikapo tarehe 14 Februari 2012 atapoteza nafasi hiyo.
Soma zaidi orodha








