THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA - PRIME MINISTERS OFFICE
   
Search the site

 
 .: Home
 .: Organization structure
 .: About Us & Contact
 .: Mission & Vision
 .: Project & Programs
 .: Financial Report & Budget
 .: Documents
Taarifa za idara

 .: Kilimo na Mifugo

.: Maliasili

.: Elimu

.: Afya

.: Maji

.: Ushirika

.: Biashara

.: Barabara na Majengo

.: Ardhi, Upimaji na Ramani

.: Jamii, Jinsia & Watoto

 

Ardhi

Katika utekelezaji wa Sera ya Ardhi ya mwaka 1995 na ilani ya uchaguzi - ibara ya 42 mkoa umeweza kufanya wafuatayo kati ya desemba 2005 hadi Desemba 2008:

  • Kukamilisha upimaji wa vijiji 411 hivyo kufanya idadi ya vijiji kuwa 703 vilivyostahili kupima Mkoani.
  • Kuandaa mpango wa matumizi bora ya ardhi kwa vijiji 88.
  • Sheria ya ardhi no 5 ya vijiji imetolewa kwa vijiji 338, vyeti vya ardhi 157 vimeandaliwa na hati miliki kamili 980 zimeandaliwa.
  • Jumla ya viwanja 6,085 vimepimwa katika miji ya Makambako, Mafinga, Kitongoji cha Tungamalenga, Mji wa Njombe na Manispaa ya Iringa. Ambako hati miliki kisheria 1,484zimeandaliwa.
  • Maandiko ya mkopo kwa Halmashauli ya Wiliya Iringa,manispaa yamewasiliasha Wiwara ya Ardhi.
  • Mkoa umeweza kuanzisha mfuko wa kuendeleza upimaji wa viwanja, na kuweza kuikopesha manispaa ya airinga Tsh 29,000,000/=. Aidha, wizara ya Ardhi imeweza kukopesha Halmashauli ya Wilaya ya Kilolo Tsh 30,000,000/= na Mamlaka ya mji Mdogo wa Makambako Tsh 40,000,000/= kwa ajiri ya upimaji na uwendelezaji ardhi.

Sekta ya Mipango Miji

  • Imeweza kuainisha maeneo yaliyojengwa kiholela katika Manspaa ya Iringa mjini, Mji njombe, miji midogo ya Ilula na Makambako.
  • Kuandaa mipango ya kina kwa maeneo mapya (Detailed Planning Schems for New Areas) kwa vitongoji vya Kidamali, Tungamalenga (Halmashauri ya Iringa) na Ilembula Halmashauri Wilaya ya Njombe.
  • Kusimamia uendelezaji wa maeneo ya kati ya mji (CDB) kwa maeneo ya Miyomboni, Stand kuu na Wilolesi (ERTCO) katika Manispaa ya Iringa.
  • Kutaarisha michoro ya mipango miji 44 yenye jumla ya viwanja 12,911 katika miji ya Njombe, Mafinga, Makambako, Kidamali, Tungamalenga, Kilolo, Ilula na Manspaa ya Iringa.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

opyright © 2009 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa, P.O.BOX 858, Iringa, TEL: 026 - 2702715, FAX: 026-2702082 / 2701888

[Go Home]